Romans 9:27-28

27 aIsaya anapiga kelele kuhusu Israeli:

“Ingawa idadi ya wana wa Israeli
ni wengi kama mchanga wa pwani,
ni mabaki yao tu watakaookolewa.
28Kwa kuwa Bwana ataitekeleza
hukumu yake duniani kwa haraka
na kwa ukamilifu.”
Copyright information for SwhNEN